Total Pageviews

Blog Archive

ymmb. Powered by Blogger.

Archives

Categories

Labels

AKA AFUNGUKA KWANINI HATO TOKEA JUU YA STAGE YA BACK TO THE CITY HUKO SOUTH AFRIKA

Msanii wakimataifa AKA amesema sababu zakutaa kufanya show katika tamasha la Back to the city lililo anadaliwa huko SA "AKA asema  Sipendezwi na jinsi watayarishaji wa matamasha Afrika kusini wanavyofanya kazi na wasanii wa nyumbani, hata Mimi ni msanii wa kimataifa na nataka kufanyiwa na kuchukuliwa sawa na wasanii wa kigeni mnaowaita wasanii wa kimataifa na ndio maana sitafanya show kwenye Back To The City" AKA akiwalala mikia waandaaji  wa mwatamsha huko SA .