Total Pageviews

Blog Archive

ymmb. Powered by Blogger.

Archives

Categories

Labels

NBA SUPERSTAR HASHEEM THABEET NA MCHUMBA WAKE BEE ANDERSON WAPATA MTOTO WA KIUME

  Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu katika timu kubwa ya ‘Thunder aka OKC’ katika jijini la Oklahoma, Marekani Hasheem Thabeet aka Hasheem The Dreamwiki sita zilizopita amepata mtoto wa kiume(Baby Boy) aliyezaa na msichana wa kimarekani anafahamika kwa jina la Bee Anderson alias Love Queen Bee.Thabee mama watoto wake ni modele maarufu huko jijini Las Vegas, Marekani.

0 comments:

Post a Comment