Total Pageviews

Blog Archive

ymmb. Powered by Blogger.

Archives

Categories

Labels

TULI MFAHAMU KAMA SALMA BSS JE UNAMJUA ALIPOTOKEA? SOMA HAPA

Nilikua na fanya nae interviwe muda mchahe kutokea sasa akiwa huko Africa yakusin  na maswali yalikya hivii...........


Kwanza watu wangependa kuku jua kidogo salma ni nani kabla ya kuingia BSS?
Historia yako kwaufupi
Salma alikua ana fanyanini  kabla ya BSS
Salma  yuko wapi na anafanyanini?
Na katika muda ulio kua ndani ya BSS umepata manufaaa gani
Je wale waliokua mashabiki wako wategemee ninikutoka kwako
Vipi family ina kupa support yakutosha?
JE umesha record track ngap hadi sasa?
Mwisho  swali lakizushi
Salma kama motto wakike anapendelea kufanyanini akiwa home?


majibu yake yalikua hayo
 
1. Mimi ni mtoto wapili ktk familia ya Mzee Yusuf Mbwana Abushiri, kabla Bss nilikuwa bado mwanafunzi na pia nilikuwa napenda mziki km kipaji. Mwaka 2006 ndipo nilianza mziki rasmi na kifunza chombo cha mziki kinanda hapa "DCMA- Dhows Country Music Academy", Zanzibar. Baada ya hapo nikaja Dar mwaka 2010 nikajiunga na THT then mwaka 2011 nikaamua kijifunza combo kingine guitar ktk chuo kiitwacho "Johme centre of music"..baada miezi kaaza pia nikaona si vibaya kupata mafunzo ya voice training ktk chuo kiitwacho "Turn round music academy TMA". 2. Kabla Bss nilikuwa mwanafunzi, wakati nilipokuwa Bss nilijifunza mengi kwa watu na walim tofauti, kusema kweli ilikuwa ngumu kwa Mara ya kwanza kuishi mbali na familia na umri wangu nilikuwa mdogo miaka 17 ila kuishi na watu ilikuwa na moja ya experience na changamoto kwangu ila ilikuwa poa sana! . Sasa hivi nipo Africa kusini nasomea "Music production and deejaying"..Mashabiki wategemee wengi kwani Mimi mziki kwangu ni kitu almasi kwangu na nataza mbele zaidi sio tu kuimba!. 3. Nimerikodi ndio nyimbo 6 ninazo but still am working on then nazo huku huku na kupata experience ya kazi ya mziki huku na industry yao kwani sio vibaya pia kujifunza na watu tofauti ndani na nje:). 5. Nikiwa nyumbani haswa mie napenda usafi wa nje na ndani mwenyewe na napenda sana kupika, namshkuru mungu pia nimechumbiwa kwa sasa inshaallah nitakuwa mke wa mtu, tuombeane duwaa..

0 comments:

Post a Comment