masanii A. k. a tokea Afrika ya kusini ameleza kua amesha fanya ngoma na msanii diamond toka Tanzania na tayari video imesha
AKA akiendelea kufunguka akaeleza kua video yake na Baba Tifa itakua out so soon yani mwezi unaokuja ili kuweza kuipa nafasi nyimbo ya Diamond inayo fanya vizuri kwa sasa katika vituo vya ndani ya Afrika pamja na vya kimataifa
wapenzi na mashabiki wa Mastar hawa subirini kitu kikali toka kwao

0 comments:
Post a Comment