Total Pageviews

Blog Archive

ymmb. Powered by Blogger.

Archives

Categories

Labels

Wema Sepetu athibitisha kua na uhusiano "serious" na Diamond platium

Wema sepetu asema mapenzi yao na kaka Diamond platinumz sasa yako super tena imara sio kama zanmani....................................wema na diamondLeo katika kibindi cha LEO TENA cha CLOUDS FM alie kua miss Tanzania Wema Sepetu  eti mapenziyao yana nguvu kwakua wame ishikatika mahusiano kwa takribani miaka 4 yeye na kaka Diamond.
nanukuu "Wema: kweli nipo na Nasb napia nadhani muda huu utakua wautulivu kwetu"
kile tulichokua tuna fanya ilikua ni utoto na now tupo kweye "SERIOUS RELATIONSHIP toka 2010 na dhani nimwaka wa 4 sasa WEMA....