Msanii wa Bongo Fleva "Baraka da Prince " afungua juu ya kuchelewa au kuto fanyika kabisa kwa video ya wimbo wake 'Vumilia' alio fanya na mwanadada tokea nyumba ya vipaji THT mwana Dada 'Rubby'
Baraka akifunguka hapa"Wimbo wa Vumilia niliufanya chini ya usimamizi tofauti na nilionao sasa so niliona italeta matatizo na watu kuongea ndio maana nikatoa Video nyingie badala ya hio uwezekano wakufanya video hio upo ila nipaka nifanye mazungumzo ".
Niayo alio sema msanii Baraka da prince

0 comments:
Post a Comment