Total Pageviews

Blog Archive

ymmb. Powered by Blogger.

Archives

Categories

Labels

Picha: Ujumbe wa Diamond kwa birthday ya mama yake mzazi


Kila ninapowaza nikufanyie kitu gani naona
 kama kidogo hakitoshi kwa jinsi shida,tabu ulizozipata
 katika kunilea hadi leo kufikia hapa...ni Matatizo mengi sana, tena Saana hadi kila
 niyakumbukapo najikuta ghafla machozi
 yananitoka...tazama hata hapa najikuta nakosa
 cha kukiandika maana kila niliandikalo naona kama bado halitoshi
 kuelezea Hisia, Upendo, Thamani na Heshima yangu Kwako... Nakupenda 
sana Mama yangu, Mwenyezi Mungu akuzidishie Maisha marefu 
yenye Afya na furaha ili uzidi kuniongoza vyema Mwanao, Maana Bila wewe
 Mbele kwangu ni kiza... Happy Birthday Mama Nasibu.



YMMB: PICHA KALI YA WIKI

PICHA KALI ZA WEEK......!!





LULU'S HAPPY BIRTHDAY PHOTOS













 
 
 


wema duuuuuuuu

sasa huu ustar basitena!!!!!!!!!!!!

PICHA KALI YA WIKI


YUMA YA CAMERA KATIKA VIDEO YA QUICKY WOSHINGTON