Total Pageviews

Blog Archive

ymmb. Powered by Blogger.

Archives

Categories

Labels

AKA AFUNGUKA KWANINI HATO TOKEA JUU YA STAGE YA BACK TO THE CITY HUKO SOUTH AFRIKA

Msanii wakimataifa AKA amesema sababu zakutaa kufanya show katika tamasha la Back to the city lililo anadaliwa huko SA "AKA asema  Sipendezwi na jinsi watayarishaji wa matamasha Afrika kusini wanavyofanya kazi na wasanii wa nyumbani, hata Mimi ni msanii wa kimataifa na nataka kufanyiwa na kuchukuliwa sawa na wasanii wa kigeni mnaowaita wasanii wa kimataifa na ndio maana sitafanya show kwenye Back To The City" AKA akiwalala mikia waandaaji  wa mwatamsha huko SA .

Kua wakwanza kusikiliza Track hii toka kwa Kellyweezy




Daah! Video ya wimbo "Vumilia" ya Baraka da prince Ft Rubby ndio hatua iona tena Badaka afuka hapa

Msanii wa Bongo Fleva "Baraka da Prince " afungua juu ya kuchelewa  au kuto fanyika kabisa kwa video ya wimbo wake 'Vumilia' alio fanya na mwanadada tokea nyumba ya vipaji THT mwana Dada 'Rubby'

Baraka akifunguka hapa"Wimbo wa Vumilia niliufanya chini ya usimamizi tofauti na nilionao sasa so niliona italeta matatizo na watu kuongea ndio maana nikatoa Video nyingie badala ya hio uwezekano wakufanya video hio upo ila nipaka nifanye mazungumzo ".
Niayo alio sema msanii Baraka da prince

A.K.A afunguka kuusu collabo yake na Diamond (Simba) au baba tifa

masanii  A. k. a tokea Afrika ya kusini ameleza kua amesha fanya ngoma na msanii diamond toka Tanzania na tayari video imesha 
 AKA akiendelea kufunguka akaeleza kua video yake na Baba Tifa itakua out so soon yani mwezi unaokuja ili kuweza kuipa nafasi nyimbo ya Diamond inayo fanya vizuri kwa sasa katika vituo vya ndani ya Afrika pamja na vya  kimataifa
wapenzi na mashabiki wa Mastar hawa subirini kitu kikali toka kwao