Total Pageviews

Blog Archive

ymmb. Powered by Blogger.

Archives

Categories

Labels

OMMY DIMPOZ official video (Ndangushima)

masanii wa Tanzania Ommy dimpoz aka Dimpoz kwapoz amegusha bonge la kichupa  alicho kifanyia jijini London na kukitambulisha kwa mara ya kwanza katika  kituo cha TV cha MTV Base kwenye show yake ya Best of Spanking New. Pia kwa mara ya kwanza video hiyo itachezwa kwenye ukumbi wa Club Bilicanas kwenye show ya Road to MAMA ambapo kundi la Mi Casa Music, Sauti Sol na Diamond watatumbuiza
.  video (Ndangushima) na iliongozwa na Moe Musa.

0 comments:

Post a Comment